Tunajihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya pikipiki, guta na bajaji. Tunatoa bidhaa bora kwa bei nafuu na huduma za kuaminika kwa wateja wa rejareja na jumla.
Tembelea tawi letu la Mavanga-Ludewa au wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu ofa na bei za sasa za bidhaa.